Dalali maeneo ya Ubungo, External na mabibo hostel
Wasiliana nasi tukuuzie au tukuunganishe na uweze kupata mali unayoitaka
Kwa ajili ya madalali tu.Pata madalali wa sehemu mbalimbali dar. Wasiliana nao wakutafutie nyumba, vyumba, mashamba, wakuuzie vitu vyako nk.Tumia sehemu hii ili upunguze gharama.
Nitawapataje madalali Ubungo
ReplyDeleteNauza kiwanja mil5
DeleteVyumba vipo single mbili moja 100000 na nyingine 120000 toilet na bafu mnachangia watu wa will tu full tyles na fen na kabati chumbani na kipo master kina choo nani na kabati na feni mabibo hostel number nipigie 0714565564
DeleteNatafuta chumba kikubwa maeneo ya mabibo hoster kiwe self !
ReplyDeleteNichek 0746080650
Kipo Mimi sio dalali ni mwenye nyumba chumba kipo master room kinakabati kubwa feni full tyles hii number yangu 0714565564 mabibo hostel
DeleteKodi ya miezi 6 chumba bei 130000 kwa mwezi
DeleteNa fremu iliyopo mabibo hoster kwa mbele kubwa nzuri
ReplyDelete0746080650
Andika bei dear
Deletenauza kiwanja kipo manzese tiptop dar es salaam ###0710545475 napatikana namba hiyo
ReplyDeleteNatafut chumba maeneo ya makubur ama gerej max 50k
ReplyDeleteNapangisha majengo mbezi Luis yanafaa kwa shule, hospitali, hotel, kanisa nk mawasiliano 0718452265
ReplyDeleteNauza Samsung Galaxy s6 edge 0759317015
ReplyDeleteNatafuta flame ya duka maeneo ya Mbagala au tandika
ReplyDeleteHabari nauza kitanda na fern kwa bei poa, nipo mbagala contact me 0620410875
ReplyDeleteNauza jiko la gesi,Jana,na godoro kwa Bei poa Kabisa njoo inbox mwisho this week 0767157571
ReplyDeleteNot jana I mean jaba la kuhifadhi maji
ReplyDeleteNatafuta chumba ubungo single jmn dalali au mwenyenyumba nitafute 0786216581
ReplyDeletenatafata master nzuri kwa 80 na frem maeneo ya ubungo au external
ReplyDeleteNatafuta chumba na sebule mabibo , riverside ofa yangu 100,000 kiwe na maji
ReplyDeleteNatafuta chumba kimoja maeneo ubungo maziwa ae mandera road external
ReplyDelete